VIVA LE TANZANIA
wiki ya mazingira kwa askari polisi safi yazinduliwa leo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dk Batilda Burian akimkabidhi,IGP Said Mwema Vifaa vya Usafi wa Mazingira wakati wa Uzinguzi wa Wiki ya Mazingira kwa Askari Polisi Safi Kama Kituo cha Polisi iliyofanyika Katika Kituo cha Oysterbay Kulia Kamanda Kanda Maalum ya Dar es Salaam CP Suleiman Kova leo jijini Dar. Picha na mdau Ali Meja
No comments:
Post a Comment
welcome ma little homeys from anywhere