Wednesday, December 17, 2008

ADHA YA DARAJA

VIVA LE TANZANIA
Makaravati yaliyoachwa kwa miaka kadhaa sasa na Manispaa ya Ilala kwa ajili ya ujenzi wa daraja katika kiunganishi cha wakazi wa Temeke na Kiwalani sasa ni kero kwa wananchi wa maeneo hayo picha inamuonyesha mkazi akipita katika matairi ya gari.

No comments: