mtarajiwa wakati wa chiken party akiwa na vazi la SmartAfrika la Manju Msita mtarajiwa na mpambe wake wakati wa send off katika mavazi ya SmartAfrika
mavazi ya SmartAfrika hayaongopi
mtarajiwa na mpambwe wake wakati wa send off
watarajiwa katika send off ndani ya kivazi cha SmartAfrika
wakikata keki wakiwa katika mavazi ya SmartAfrika
wakiingia kanisani
tofauti ni kubwa sana dhidi ya mavazi ya magharibi
alipoamua kustaafu muziki baada ya libeneke la muda mrefu akiwa na Roots & Kulture akiwa na Jah Kimbute, Manju Msita amejikita kikamilifu kwenye ubunifu wa mavazi ya Afrika na sasa yuko katika harakati ya kuleta mabadiliko kwenye mavazi ya wakati wa sherehe kama vile harusi, send off na chicken party. vile vile anawashonea mavazi ya Afrika mastaa wakubwa wakiwemo banana zahir ali, mrisho mpoto na kadhalika. hapa anatumia kompyuta kuhifadhi ubunifu wake na pia kuwasiliana na wadau kwa njia ya kisasa. libeneke lake linaadaliwa pamoja na ripoti kamili. manju, ambaye anatamba na lebo yake ya SmartAfrika, anapatikana Mikono House kona ya Chang'ombe kabla ya VETA jijini Dar. email yake ni manjusita@yahoo.com na namba ya simu ya ofisini kwake ni +255 655 411 411/ +255 784 411 411
No comments:
Post a Comment