VIVA LE TANZANIA
USIKU WA KUJIACHIA NA NDOVU
Utafanyika mkoani Dodoma kwenye ukumbi wa Royal Village Hotel siku ya tarehe 24/12 ambapo itakuwa ni mkesha wa krismas.
Wasanii watakaokuwepo siku hiyo ni Mangwear, Dully Sykes, Mchizi Mox, Jay Moe pamoja na Makamua.
Wakazi wa Dodoma hii ni zawadi yao ya krismas.
Asante
Saraphia(Mratibu)
No comments:
Post a Comment