Tuesday, December 16, 2008

MATOKEO YA URAIS TFF

VIVA LE TANZANIA
sir leodegar chilla tenga ashinda tena urais tff
leodegar chilla tenga na mpinzani wake jamal malinzi wakishangilia wakati wa kutangazwa matokeo muda mfupi uliopita ambapo tenga kamshinda malinzi kwa kupata kura 68 kwa 39 katika ukumbi wa nssf waterfront dar.
mgombea wa nafasi ya urais njamal malinzi na mgombea wa makamu wa pili wa rais ramadhan nasib kabla ya uchaguzi kuanza
gemu ni dakika 90 n jamal malinzi anakubali matokeo ya kushindwa na tenga kwa kura 68 - 39


No comments: