Tuesday, December 16, 2008

UCHAGUZI TFF

VIVA LE TANZANIA
athumani nyamlani awa makamu wa kwanza wa rais tff
athumani nyamlani (kulia) akitangazwa mshindi wa makamu wa rais wa tff kwa kura 65, akifuatiwa na lawrence mwalusako (kati) ambaye kapata kura 39 na ali hassan mwankatwe aliyepata kura moja.

No comments: