Wednesday, December 17, 2008

wadau

VIVA LE TANZANIA
TUMPIGIE KURA MBONGO MWENZETU HUYU ASHINDE!

HAPA LEO TUNAYE KIJANA MTANZANIA MWENZETU AMBAYE ANAKIPAJI CHA MUZIKI TANGU UTOTONIANAITWA BENNY KAGUO almaarufu kama NGEK MASTER AMBAYE KWA SASA YUPO NCHINI MAREKANI-USA CALIFORNIA AKISOMA HUKU AKIENDELEZA LIBENEKE KATIKA KIPAJI CHAKE CHA MUZIKI.


KWA SASA YUPO KWENYE SHINDANO LA KUMTAFUTA "FRESHEST MC'S" LILILOANDALIWA NA MWANAMUZIKI PIA PRODUCER NA MUIGIZAJI MAARUFU JERMAINE DUPRI "JD" WA AMBAYE NDIYE MMILIKI WA LABEL YA SoSo DEF.


HATA HIVYO NGEK MASTER AMEWEZA KUONYESHA USHUJAA WAKE KAMA MBOGO KUTOKA MBUGA ZETU KWA KUWAGALAGAZA ZAIDI YA WASHIRIKI 100,00 KUTOKA PANDE ZOTE DUNIANI NA KUONGOZA KWA KURA MPAKA SASA.


WADU HUU NI WAKATI MUAFAKA KWA WATANZANIA KUJIUNGA KWA PAMOJA KUONYESHA USHIRIKIANO WETU KAMA ILIVYO DESTURI YETU TUMPIGIE KURA BENNY KAGUO a.k.a NGEK MASTER AWEZE KUPATA USHINDI KWA KISHINDO


KUPATA DETAILS ZA ZIADA ANGALIA (WEBSITE)TOVUTI YAKE HII www.myspace.com/ngekmasterafricanboy


PIA UNAWEZA KUMTUMIA BARUA PEPE YAANI EMAIL KUPITIA bennyproducer@yahoo.com


PIA UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO YAKE INAYOMPA KURA ZA USHINDI KUPITIA http://vids.myspace.com/index.cfm?fuseaction=vids.individual&videoid=48068413


JINSI YA KUPIGA KURAFUNGUA HII TOVUTI YA www.myspace.com/tagrecordings

HALAFU FUATA MAELEKEZO BAADA YA KUJIUNGA NA TAG RECORDING BURE ILI UMPIGIE KURA KUPITIA

No comments: