Saturday, May 16, 2009

cheki hii.dunia ina mambo jama

VIVA LE TANZANIA
polisi waokoa mtuhumiwa wa wizi asibanikwe
kibiriti kinapigwa
moto lipu!
moto unakolea watu wanasepa
askari kanzu anawahi kusevu ngoma
jamaa anachoropoka
askari kazu akimuopoa mtuhumiwa huyo ambaye tayari alishawekewa kuni na dizeli na kupikwa kibiriti leo asubuhi maeneo ya garden flats nyuma ya ubalozi wa marekani, dar
mtuhumiwa aanguka kwa kiwewe cha kupigwa na wananchi wenye hasira na moto
anainuka taratibu





haamini kwamba bado yuko hai. anawashukuru sakari kanzu waliofika eneo la tukiuo chap chap na kuokoa maisha yake

kukosa kufika polsi stori ingekuwa ingine

haya bwana... twende umeshasevu...


anajikongoja anakwea mchuma
anajitupa sakafuni

mchezo kwisha










No comments: