Sunday, July 19, 2009

sofia wao juu

VIVA LE TANZANIA
sofia productions wako juu
bosi wa sofia productions mussa kissoky akikorofisha mambo na vijana wake kwenye mnuso mmoja hivi. kampuni hii yenye makao yake makuu mwananyamala kwa kopa ni moja ya zinazoongoza kwa vifaa bora na vya kisasa kwa shughuli za filamu, kurekodi hafla na matukio pamoja na muziki

No comments: