PICHA NA ANNA ITENDA WA MAELEZO.
Tuesday, December 8, 2009
MKUTANU WA HALI YA HEWA LEO DENMARK
VIVA LE TANZANIA
MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIANCHI UMEFUNGULIWA LEO MJINI COPENHAGEN -DENMARK NA WAZIRI MKUU WA DENMARK MHE.LARS LOKKE RASMUSSEN AMBAE HAYUPO KWENYE PICHA .HAPA WANAONEKANA WATOTO WAKITOA UJUMBE MZITO KWA KATIBU MTENDAJI WA SEKRETARIETI YA MKATABA WA MABADILIKO YA HALI YA HEWA (UNFCCC) WA UMOJA WA MATAIFA NA ANAE ONGEA NA KUWAJIBU WATOTO NI RAIS WA MKUTANO WA 15 WA MABADILIKO YA TABIA NCHI MHE.CONNIE HEDEGAARD MJINI COPENHAGEN LEO.
WATOTO WAKITOA UJUMBE KWENYE MKUTANO MKUU WA DUNIA WA MABADILIKO YA TABIA NCHI ULIOFUNGULIWA NA WAZIRI MKUU WA DENMARK MHE .LARS LOKKE RASMUSSEN MJINI COPENHAGEN -DENMARK LEO.
PICHA NA ANNA ITENDA WA MAELEZO.
PICHA NA ANNA ITENDA WA MAELEZO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment