simba iliyokuwa simba enzi hizo
Simba iliweka historia katika Tanzania kwa kuifunga Yanga mabao 6 Julai 19, mwaka 1977. Abdallah Kibadeni alikuwa nyota kwa fufunga mabao matatu ( dakika za 10, 42 na 89) Jumanne Hassan ‘Masimenti’ alifunga mabao mawili katika dakika za 60 na 73 na kutokana na ‘kiwewe’ cha Yanga siku hiyo, mlinzi wao Selemani Sanga alijifunga katika dakika ya 20.Kipa alikuwa - Athumani Mambosasa,
beki wa kulia, - Shabani Baraza,
wa kushoto - Mohamed Kajole,
wa kati Athumani Juma na Alloo Mwitu,
viungo Khalid Abeid, Haidari Abeid,
wing wa kushoto Abasi Dilunga,
kulia Willy Mwaijibe,
washambuliji Abdallah Kibadeni na Jumanne Hassan Masimenti
viungo Khalid Abeid, Haidari Abeid,
wing wa kushoto Abasi Dilunga,
kulia Willy Mwaijibe,
washambuliji Abdallah Kibadeni na Jumanne Hassan Masimenti

No comments:
Post a Comment