Tugawane umasikini!
Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya Sir Juma Nature hivi karibuni amekwisha ikamilisha albamu yake ya tano itakayoitwa TUGAWANE UMASIKINI itakayokuwa na jumla ya nyimbo 12.
![]() |
Akizungumza na DHW, Juma Nature amezitaja nyimbo zilizomo ndani ya albamu hiyo ambayo amekiri wazi itakuwa ni ya kuotea mbali, kuwa ni Ofisa salama,Nimeshakwama,kukakaa maskani,siku za wiki,Burudika,nitakuwa mgeni wa nani na wimbo wa kilichokusibu.
Juma Nature mpaka sasa amekwishatoa albamu nne ambazo kiukweli zilitamba na kukubalika sana katika anga ya muziki wa bongofleva, albamu hizo ni Nini Chanzo,Ugali, Ubinadamu kazi pamoja na albamu ya HistoriaVIVA LE TANZANIA
No comments:
Post a Comment