Ni Matonya Europe Tour!
Haya sasa kwa wale wa nje ya nchi...msanii wenu Matonya ana ratiba nzito ya kuwaburudisha kipindi cha mwisho wa mwaka ambapo amepanga kuangusha libeneke la nguvu huko ughaibuni.
Tour lenyewe limepewa jina la MATONYA EUROPE TOUR 2008..likiwa linaletwa kwenu na Big Time Promotions.
Kazi ndio hiyo wazee kaeni mkao wa kujiramba...na ratiba inakwenda kama hivi..........
1.BELGIUM - 07.11.082.
2.FRANCE - 08.11.083.
3.FINLAND - 15.11.084.
4.NORWAY - 21.11.085.
5.BERLIN - 22.11.086.
6.HOLLAND - 28.11.087.
7.FRANKFURT - 29.11.08
No comments:
Post a Comment