VIVA LE TANZANIAmbilia atua dar leo
Mwanamuziki mkongwe toka nchini kongo Mbilia Bel anatarajiwa kutua leo jijini dar na skwadi lake zima kwa ajili ya makamuzi makubwa yatakayofanyika wikend hii katika ukumbi wa New World Cinema-Mwenge.
Katika onesho hilo mwanamuziki huyo atakutana na kizazi kingine kipya kabisa katika muziki wa kikongo Fally Ipupa ambaye anaonekana kukubalika sana kwa sasa katika ulimwengu wa ndombolo.
Aidha katika onesho hilo litakalokuwa la aina yake kiingilio kimepangwa kuwa ni shilingi 25,000/= kwa kichwa.
Wednesday, December 17, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment