Wednesday, January 21, 2009

PINDA ZIARANI KANDA YA ZIWA

VIVA LE TANZANIA
pinda ziarani geita na chato
Waziri Mkuu Mh. Mizengo akiwa huko Geita muda mfupi kabla ya kufungua tawi la Benki ya NMB, nyumba za makazi za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na kuhutubia mkutano wa hadhara huko.
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa Biharamulo Mashariki, John Magufuli akiwa na mbunge wa Kuteuliwa, Sheimaa Kwegir wakati walipowasili kwenye viwanja vya Benki ya NMB tawi la Chato mkoani Kagera lililofunguliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda


No comments: