VIVA LE TANZANIA
bonge laukumbi la mikutano lanukia dar

JK na balozi wa china nchini Mhe. Liu Xinsheng wakiangalia mchoro wa jengo linalotarajiwa kujengwa jijini dar litalojulikana kama julius nyerere convetion center wakati walipokutana ikulu

mchoro wa jengo la julius nyerere convention center linavyoonekana kwa ndani

kwa nje
No comments:
Post a Comment