chaneta yaijia juu BBC kwa kutoa kipaumbele kwa maharage badala ya michango ya pesa
makamu mwenyekiti wa chama cha netiboli nchini (chaneta) shy-rose bhanji akielezea masikitiko ya chama chake dhidi ya hatua ya BBC kutangaza kutembeza bakuli kwa chama hicho kuomba misaada ya maharage na vyakula vingine ili kufanikisha mashindano ya taifa cup mwaka huu, badala ya kutangaza milioni 50 ambazo shy-rose anadai waliweza kukusanya toka kwa wadau
No comments:
Post a Comment