khatibu awaasa waandishi wa michezo (video)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Muhammad Seif Khatibu akiongea katika hafla ya kuwatunuku wanamichezo bora wa mwaka 2008 katika ukumbi wa Kilimanjaro Kempinski usiku wa kuamkia leo ambapo mwanariadha Mary Naali aliibuka kidedea kwa kuwa mshindi wa tuzo ya jumla na kujinyakulia kombe, cheti na kitita cha shilingi laki sita.
No comments:
Post a Comment