Sunday, July 19, 2009

KWELI YUPO JUU

VIVA LE TANZANIA
kamanda wa FFU atua tampere kwa kishindo
Nani kasema Ras Makunja kamanda wa Ngoma Africa band aka FFU kachacha? Hapa mzee mzima ndio katua Tampere,Finland. Washambuliaji wake FFU huwa wanatangulia na yeye akiwa supa staa huwasili kivyake. Hapa yuko tayari kutumbuiza katika onyesho la Fest Africa! picha na mdau Edo Ndaki

No comments: