Sunday, July 19, 2009

MAMA SALMA MWANZA KIDOGO

VIVA LE TANZANIA
mama kikwete ziarani mwanza
Mwanafunzi wa Kidato cha sita katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Bwiru, Mkoani Mwanza Renatha Renatus akimkaribisha kwa maua Mke wa Rais Mama Salma Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika shule hiyo ambapo aliongea na wanafunzi shuleni hapo.Katika hotuba yake shuleni hapo Mama Kikwete aliwahimiza wasichana hao kufanya bidii katika masomo yao na kukemea vikali tabia ya wanafunzi wa kike kufanya mapenzi na kupata mimba na kukatisha masomo yao.picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

No comments: