vodacom yaendelea kumwaga madawati mashuleni
Sunday, July 19, 2009
VODACOM YATOA MSAADA KWA SHULE ZA MSINGI
VIVA LE TANZANIA
Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi ya Upendo kongowe kata ya Toangoma wilaya ya Temeke Elizabeth Yona(kushoto)akimpa mkono wa shukrani Meneja mauzo wa Vodacom Tanzania kanda ya mashariki Atilio Lupara wakati Vodacom Foundation ilipokabidhi madawati 80 yenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 6 kwa shule hiyo ambapo kampuni hiyo inaendelea na kampeni yake ya kutoa msaada wa madawati 400 katika shule za Msingi za Mkoa wa Dares Salaam.
Meneja wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule akiongea jambo na Mwanafunzi wa shule ya Msingi Upendo kongowe kata ya Toangoma wilaya ya Temeke,mara baada ya kutoa msaada wa madawati 80 yenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 6 katika shule hiyo ambapo kampuni hiyo inaendelea na kampeni yake ya kutoa msaada wa madawati 400 katika shule za Msingi za Mkoa wa Dares Salaam.
Afisa Habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu akiongea jambo na baadhi ya Wanafunzi wa shule ya Upendo kongowe kata ya Toangoma wilaya ya Temeke ,Vodacom Foundation ilipoenda kutoa msaada wa madawati 80 yenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 6 kwa shule hiyo ambapo kampuni hiyo inaendelea na kampeni yake ya kutoa msaada wa madawati 400 katika shule za Msingi za Mkoa wa Dares Salaam.
Afisa Habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu akimfunga kamba za viatu mwanafunzi Abdul Wahid wa shule ya Upendo kongowe kata ya Toangoma wilaya ya Temeke ,Vodacom Foundation ilipoenda kutoa msaada wa madawati 80 yenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 6 kwa shule hiyo ambapo kampuni hiyo inaendelea na kampeni yake ya kutoa msaada wa madawati 400 katika shule za Msingi za Mkoa wa Dares Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment