Sunday, December 14, 2008

INATISHA

VIVA LE TANZANIA
Mwandishi: haki Tarehe: Thursday, December 11, 2008 | kiungo mahususi
Hii sasa ni Hatari..
Pichani ni mmoja wa Maalbino akiwa kwenye hospital muda mfupi baada ya kukatwa mokono yake miwili na watu wasiojulikana
--------
WADAU HALI HII SASA INATISHA YAANI NDUGU ZETU SASA WANATAFUTWA KWA MTUTU WA BUNDUKI?HIVI KWELI SERIKALI IMESHINDWA? JE JESHI LA POLISI NI KWELI HALIJUI WAHALIFU HAWA NI WAPI WANAPELEKA VIUNGO HIVI VYA NDUGU ZETU WA ALBINO?
JE WALE WALIOKUWA EXPOSED NA VICKY NTETEMA WA BBC WAKO WAPI HADI SASA? NINI MPAKA SASA JESHI LA POLISI LIMEFANYA JUU YAO?AU KUNA USHIRIKIANO USIO RASMI HAPA?MTU ANALAZIMIKA KUWAZA MENGI KUTOKANA NA UKWELI KUWA HAKUNA HATUA INAYOONEKANA KUCHUKULIWA NA WAHUSIKA TOKA TAARIFA ILE NZURI YA UCHUNGUZI ILIYOTOLEWA NA HADI LEO HII AMBAPO MAUAJI HAYA YA KINYAMA YANAENDELEA KUFANYIKA NCHINIKSILISHA..

No comments: