Sunday, December 14, 2008

MTOTO WA JK AHITIMU

VIVA LE TANZANIA
uchaguzi mkuu tff umeshaanza
mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya tff henry tandau akitangaza rasmi kuanza kwa uchaguzi mkuu hivi sasa katika jengo la nssf waterfront jijini dar
sir leodegar chilla tenga akitangaza rasmi kujiuzulu yeye kama rais wa tff na kamati yake ya utendaji ili kupisha uchaguzi mkuu kupata uongozi mpya leo
wajumbe wa mkutano mkuu wa tff kikaoni muda huu






No comments: