MPIRA UMEISHA TUMESHINDA 2-1
TAIFA STARS IMEFANIKIWA KUSONGA MBELE KWENYE MICHUANO YA CHAN KWA KUIBANJUA SUDAN JUMLA YA MABAO 5-2 YA AGGREGATE, BAADA YA KUSHINDA BAO 2-1 LEO HUKO KHARTOUM.
MPIRA UMEISHA NA TAIFA STARS KIDEDEAAAAAAAAAAAAAAA!
No comments:
Post a Comment