Sunday, December 14, 2008

WASHINDI WA TANGA RACE

VIVA LE TANZANIA
washindi wa tanga race
Afisa udhamini wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Ibrahim Kaunde (wa nne kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na timu ya waendesha Maboti ya Jamala ambao waliibuka washindi wa jumla katika mashindano ya Vodacom Tanga Race, yaliyoanzia Dar es Salaam hadi Tanga, na kurudi Dar es Salaam, yakiwa yamedhaminiwa na Vodacom Tanzania

No comments: