turuka atembelea daily news na habariLeo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo Dk. Florens Turuka (aliyevaa suti) akiangalia jinsi magazeti ya Daily News na Habarileo yanavyoandaliwa kwa ajili ya kuchapishwa wakati alipotembelea kiwanda chao cha magazeti kilichopo eneo la TAZARA jijini Dar
Meneja wa Uchapishaji wa magazeti ya Serikali (TSN) John Mcharo akimuelezea Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo Dk. Florens Turuka (aliyevaa suti) jinsi magazeti hayo yanavyoandaliwa kwa ajili ya kuchapishwa wakati alipotembelea kiwanda chao cha Uchapishaji kilichopo eneo la TAZARA jijini Dar


No comments:
Post a Comment