Monday, August 10, 2009

jk

VIVA LE TANZANIA Rais Rupia Banda wa Zambia akimkaribisha JK muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Lusaka jumapili jioni ambapo anahudhuria mkutano maalumu wa nchi za Maziwa makuu.
JK akipokea shada la maua toka kwa kijana aliyejumuika na watanzania wengine wanaoishi Zambia kumlaki uwanja wa ndege
JK na mwenyeji wake wakisalimiana na wananchi baada ya kuwasili Lusaka

No comments: