Saturday, December 5, 2009

WELL DONE MWANDOSYA

VIVA LE TANZANIA
profesa mwandosya akutana na balozi wa uingereza
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Mark Mwandosya akiagana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bibi Diane Louise Corner (balozi huyo)alipomtembelea Waziri Mwandosya ofisini kwake Ubungo jijini Dar. Katika mkutano wao walizungumzia mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na maadhimisho ya miaka 10 ya Ushirikiano wa Nchi za Bonde la Mto Nile yatakayofanyika kuanzia Desemba 6-8,2009 katika ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City JIjini Dar

No comments: